Tuesday, December 11, 2012

Graduation Photos

Ilikuwa ni kipindi nahitimu na kupokea Certificate ya Diploma ya designing & graphics katika Chuo cha Musoma information Center. Picha hii ya juu nilikuwa napokea cheti zinazofuata niko na wanafunzi wenzangu pamoja na teacher wetu Eli Munuve katika shamrashamra za shereh hiyo.





No comments:

Post a Comment