Tuesday, May 29, 2012

maisha ya ndoa

maisha ya ndoa ni pale mwanamume na mwanamke kuungana pamoja katika mwili mmoja ili kuijenga familia hii ni kwa kuelewana baina ya hao watu wawili

NDEGE WA AJABU

Inasemekana kuwa  kuna ndege wa ajabu aliye jitokeza huko mtaan ambaye anafanya na kuonyesha maajabu ambayo  yanawafanya watu waogope kwa tukio kama hilo linalofanywa na ndege huyo kwanza inasemekana anameza watu kama chatu
.Kwa mujibu wa msemaji mkuu hapo mtaani anasema ndege huyo atakuwa ametumwa japo kw wkristu hawamini habari ndiyo hiyo.

Monday, May 28, 2012

Michezo na Burudani

Hatimaye kiungo na kapteni wa timu ya Liverpool Steven Gerrard achaguliwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza. Nahodha huyo mpya na Mkongwe wa Uingereza atakiongoza kikosi hicho katika mashindano ya timu za ulaya maarufu kama Euro Cup yatakayofanyika Poland na Ukraine.

Pichani juu: Wanafunzi wa Musoma Information center wakiwa katika picha ya pamoja katika makumbusho ya Mwalimu Nyerere kijijini Butiama.