Monday, May 28, 2012

Michezo na Burudani

Hatimaye kiungo na kapteni wa timu ya Liverpool Steven Gerrard achaguliwa kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza. Nahodha huyo mpya na Mkongwe wa Uingereza atakiongoza kikosi hicho katika mashindano ya timu za ulaya maarufu kama Euro Cup yatakayofanyika Poland na Ukraine.

Pichani juu: Wanafunzi wa Musoma Information center wakiwa katika picha ya pamoja katika makumbusho ya Mwalimu Nyerere kijijini Butiama.

No comments:

Post a Comment