Inasemekana kuwa kuna ndege wa ajabu aliye jitokeza huko mtaan ambaye anafanya na kuonyesha maajabu ambayo yanawafanya watu waogope kwa tukio kama hilo linalofanywa na ndege huyo kwanza inasemekana anameza watu kama chatu
.Kwa mujibu wa msemaji mkuu hapo mtaani anasema ndege huyo atakuwa ametumwa japo kw wkristu hawamini habari ndiyo hiyo.
No comments:
Post a Comment