Masikini Kanumba katutoka hivihivi bila hata kuamini, na kama ndivyo sisi tuliobaki itakuwaje? Na mwenzetu sajuki naye yuko hoi huko India saas akifa yeye tutasemaje? tusaidiane majawabu ya hapo wajameni nasema naomba mnipe majawabu ya hilo swali mnasikia?
Hongera Pd. Pius Msereti kwa kuwa padre wa kwanza kutoka kabila la waikizu duniani maana mambo haya ndugu zetu waikizu hususani wakaazi wa mji mdogo wa nyamuswa walikuwa wanayasikia tu maredioni na kutoka katika parokia jirani lakini kwa sasa nyamuswa nasi tumezoea kuwa na padre tena kijana mcheshi, mkarimu, mpenda watu asiye na makuu. Hongera sana na mungu abariki kazi za mikono yako.( wa kwanza kushoto ni pd maraga, pd Pius Msereti, Askofu Msonganzaila na Pd Petro Paulo wa magorombe)
Je? inawezekana nazi kuvunja jiwe au ndo mizengwe jamani?
No comments:
Post a Comment